Ruka kwenda kwenye maudhui
Nembo ya NSUMBA HERBAL CLINIC NSUMBA Herbal Clinic
Mfumo wa Mkojo Video 21 Ago 2026

Kwanini unapata UTI mara kwa mara hata kama unatumia choo chako binafsi?

UTI inayorudia isichukuliwe poa. Tunaeleza sababu zinazofanya maambukizi ya njia ya mkojo yarudi baada ya wiki chache au mwezi.

Imeandaliwa na NSUMBA HERBAL CLINIC

Elimu kuhusu UTI inayorudia

Je, unajikuta unatibiwa UTI leo, lakini baada ya wiki chache au mwezi mmoja inarudi tena? Katika video hii tunaeleza sababu za kawaida za UTI kurudia na hatua unazoweza kuchukua.

Video hii ni ya kielimu. Kwa dalili zinazoendelea au kali, tafadhali tembelee kliniki au hospitali kwa uchunguzi wa kina.

Huduma zinazohusiana: Mfumo wa Mkojo, Figo na Tezi Dume

Tahadhari ya afya: Taarifa zilizo kwenye tovuti hii ni za kielimu na hazichukui nafasi ya uchunguzi wa kitabibu, ushauri wa mtaalamu wa afya au huduma ya dharura. Kwa dalili kali au za dharura, tafadhali fika hospitali mara moja. Usiache dawa ulizoandikiwa bila ushauri wa mtaalamu wa afya aliyehitimu.